06-07-2017, 06:20 PM
0
Kwa kutumia hoja tano onesha jinsi maendeleo ya sayansi na teknolojia yanavyoboresha uhifadhi wa kazi za fasihi simulizi.
Jibu Swali Lifuatalo Kwa Hoja Na Mifano Madhubuti
|
06-07-2017, 06:20 PM
0 Kwa kutumia hoja tano onesha jinsi maendeleo ya sayansi na teknolojia yanavyoboresha uhifadhi wa kazi za fasihi simulizi.
06-08-2017, 12:40 PM
0 1. Kwa kutumia mitandao kama huu wa MyElimu tunaweza kujifadhi majadiliano yetu, maswali na majibu kiasi kwamba hata wanafunzi wa miaka ijayo wakaja kupata maswali yako Mwalimu na mawazo yetu wanafunzi.
2. Kwa kutumia videos tunaweza kurekodi na kuzipata kazi za fasihi muda wotote tunaotaka 3.Fasihi simulizi pia inaweza kupatikana kwa sauti! Mfano podcast za vitabu au audiobooks sasa zipo. 4. Vitabu pia vinaboreka. Sasa hivi unaweza kupata kitabu kwa njia za PDF unasoma vizuri tu kwenye simu yako. 5. Msimuliaji anaweza kutoa maelezo kutoka mbali! Mfano mimi niko Shinyanga, naweza kukupigia simu tukaongea au ukanitumia voicenote whatsapp safi kabisa. |
Users browsing this thread: |
1 Guest(s) |