Jinsi ya Kuandika Formulas na Equations
How to register and join MyElimu CLICK HERE

 
Thread Rating:
 • 0 Vote(s) - 0 Average
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
Jinsi ya Kuandika Formulas na Equations
MyElimu Offline
System

Posts: 247
Likes Given: 7
Likes Received: 121 in 79 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Friend:  Add as Friend

Points: 3,952.25 points
Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon  Jinsi ya Kuandika Formulas na Equations

0
0
Hello,
Tumeweka system ambayo itawezesha wanafunzi kuandika equations za formulas kwenye posts kwa urahisi. Topic hii ni ya maelekezo ya jinsi utakavyoweza kuandika equations hizo. 

1. Kufugua equation
Kwanza inabidi uanze kwa kuandika {math} then equation yako halafu ukimaliza unafunga kwa {/math}. Mfano:-
{math}x=2{/math}. Kumbuka haya mabano inabidi uyaweke na kuyafunga kila kila equation, na katika maelekezo yote yanayofuata tuna-assume umeshafungua mabano ya {math}.

2. Fraction
Kuandika fraction, unaandika  \frac{numerator}{denominator}. Mfano:-
 \frac {x+y}{y-z} italeta    [Image: fraction1.png].

Pia, unaweza kuweka fraction ndani ya fraction! Mfano:-
\frac{\frac{1}{x}+\frac{1}{y}}{y-z} italeta [Image: fraction2.png]

Unaweza kufanya majaribio hapo chini kwa kureply  na kisha kujaribu equation mbali mbali.

3. Powers and indices

Unaweza kuandika power kwa kuweka kialama cha "^" na indice kwa kuweka kialama cha _ . Mfano:-
 • x^n italeta [Image: power1.png]
 • x^{2n} italeta [Image: power2.png]
 • Index italeta  n_i[Image: index1.png]
 • n_{ij}italeta [Image: index2.png]
4. Root
Unaweza kuandika root kwa kuanza na \sqrt [namba ya nje] [namba za ndani]. Mfano:-
 • \sqrt[3]{\frac {x^2}{4xy-2}} italeta [Image: mimetex.cgi?formdata=%5CLarge+%5Csqrt%5B...xy-2%7D%7D]
 •  x=\frac{-b\pm\sqrt{b^2-4ac}}{2a} italeta  [Image: mathtex.cgi?\small%20x=\frac{-b\pm\sqrt{b^2-4ac}}{2a}]
 
5. Brackets
Kuweka brackets, kuna njia mbili: Unaweza kuandika brackets kama kawaida, au kwa kuandika \left na \right. Angalia hapa chini:-
 • (\frac{x^2}{y^3}) italeta [Image: bracket1.png]
 • \left(\frac{x^2}{y^3}\right) italeta[Image: bracket2.png]
Ukiangalia hapa juu unagundua tofauti ya kutumia /left na kutumia mabano () kama kawaida. /left na /right inaleta mabano ambayo size yake inakuwa automatic kutokana na kilicho ndani yake. 

Matrices
 Njia rahisi ya kuandika matrix ni  \begin{matrix} a&b\\c&d \end{matrix}  ambayo italeta   [Image: mathtex.cgi?\begin{matrix}%20a%20&%20b%2...nd{matrix}] .  
Izungushie   \left( ... \right)   kupata  [Image: mathtex.cgi?\left(\begin{matrix}%20a%20&...ix}\right)] .  Alternatively, unaweza ukatumia  \begin{pmatrix} ... \end{pmatrix}   ambayo itazungushia matrix yako automatically na mabano.

NB: Alama ya // inaruka kwenda kwenye mstari mwingine.

Namna ya kuweka mabano  
Kitu kingine cha kuzingatia ni jinsi haya mabano yanavyowekwa. Kama unataka mabano ya kawaida makubwa basi baada ya \left inabidi uweke bano la kawaida, yaani mfano \left(5)\right. Ila kama unataka mabano yenye mshale, basi utaandika \left{5 \left}
 
Symbols
[Image: image.png]
[Image: image.png]
[Image: image.png]
[Image: image.png]
[Image: image.png]


Kama una swali au haujaelewa sehemu, tafadhali usisite kuuliza. Enjoy being a mathematician تصویر: images/smilies/smile.gif
 

 
(This post was last modified: 03-01-2014, 09:57 AM by MyElimu.)
02-28-2014, 05:24 PM
Visit this user's website Find Like Post Reply
williada Offline
Junior Member

Posts: 9
Likes Given: 0
Likes Received: 2 in 1 posts
Joined: May 2014
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 0.00 points
Post: #2
RE: Jinsi ya Kuandika Formulas na Equations

0
0
\frac{2}{3}+\frac{3}{6}

 
(This post was last modified: 05-16-2014, 02:07 AM by williada.)
05-16-2014, 02:05 AM
Find Like Post Reply
Users browsing this thread: 1 Guest(s)