Student Of The Month [monthly Updated]
How to register and join MyElimu CLICK HERE

 
Thread Rating:
 • 0 Vote(s) - 0 Average
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
Student Of The Month [monthly Updated]
MyElimu Offline
System

Posts: 247
Likes Given: 7
Likes Received: 121 in 79 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Friend:  Add as Friend

Points: 3,952.25 points
Country: Tanzania
Post: #1
Post Icon  Student Of The Month [monthly Updated]

0
0
Kila mwisho wa mwezi, MyElimu inamtafuta mwanafunzi mmoja kuwa mwanafunzi bora wa mwezi. MyElimu ina mfumo wa point ambao mwanafunzi anapata point kwa kufanya yafuatayo:-
 • Kuanzisha discussions
 • Kupost kwenye discussions za wengine
 • Kutoa majibu sahihi ambayo muulizaji atasema 'Mark as best answer'.
 Mfumo huu nu automatic, kwa maana kwamba hakuna mtu wa MyElimu anayetoa au kuongoza utoaji wa point. Mwisho wa kila mwezi, mfumo utatoa majina kumi bora nasi tutawatangaza hapa! Mshindi anapata cheti kutoka kwa MyElimu kuappreciate juhudi zake katika kusaidia wengine.

Uko tayari? Nenda kakusanye points! 

5 bora ya mwezi wa May 2017:
 1. Francis John Likena (360.72 points)
 2. Ryan Murphy (321.06 points)
 3. Dominic Sawyer (228.10 points)
 4. 'Mwalimu' Maeda (174.10 points)
 5. Laura P (108.9 points)

Hongera kwao wote!
06-01-2017, 10:05 AM
Visit this user's website Find Like Post Reply
Damian Offline
Senior Member

Posts: 56
Likes Given: 3
Likes Received: 7 in 6 posts
Joined: Apr 2017
Reputation: 3
Friend:  Add as Friend

Points: 637.60 points
Country: Tanzania
Post: #2
RE: Student Of The Month [monthly Updated]

0
0
Thank my elimu
06-01-2017, 07:50 PM
Find Like Post Reply
MwlMaeda Offline
Junior Member

Posts: 41
Likes Given: 1
Likes Received: 3 in 3 posts
Joined: Feb 2017
Reputation: 0
Friend:  Add as Friend

Points: 3,446.38 points
Country: Tanzania
Post: #3
RE: Student Of The Month [monthly Updated]

0
0
Kazi nzuri sana tuzidi kuungana mkono tutafika mbali
06-07-2017, 02:24 PM
Visit this user's website Find Like Post Reply
MyElimu Offline
System

Posts: 247
Likes Given: 7
Likes Received: 121 in 79 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Friend:  Add as Friend

Points: 3,952.25 points
Country: Tanzania
Post: #4
Post Icon  RE: Student Of The Month [monthly Updated]

0
0
(06-07-2017, 02:24 PM)MwlMaeda Wrote: Kazi nzuri sana tuzidi kuungana mkono tutafika mbali

 

Tunashukuru Mwalimu Maeda. Wangepatikana walipo kama wewe zaidi basi tungefanikiwa kufika mbali zaidi.

 
06-08-2017, 12:03 AM
Visit this user's website Find Like Post Reply


You may also like these discussions:
Thread Author Replies Views Last Post
Post Icon New Updated Tcu Guide lunodzo mwinuka 1 2,012 06-04-2017, 08:37 AM
Last Post: Damian
Post Icon Student's Talk Series: Dawati La Myelimu MyElimu 3 2,040 06-02-2017, 05:30 AM
Last Post: DamianUsers browsing this thread: 1 Guest(s)