05-03-2018, 10:44 PM
0
Sifa za mashairi ya kimapokeo
Tofauti Kati Ya Mashairi Ya Kisasa Na Yakimapokeo
|
05-14-2018, 01:54 PM
0 sifa za mashairi ya kimapokeo kama zifuatazo
1. mashairi ya kimapokeo yanafuata urari wa vina na mizani ila mashairi ya kisasa si lazima yafuate 2. maishairi ya kimapokeo lazima yawe na vina vya kati na vya mwisho 3.mara nyingi huwa na kibwagizo 4.maishairi ya kimapokeo huwa na beti zaidi ya moja lakini ya kisasa yanaweza yakawa na beti moja. |
Users browsing this thread: |
1 Guest(s) |