05-03-2018, 10:41 AM
0
Fasihi ya kiswahili na fasihi katika kiswahili
Tofauti Ya Fasihi Ya Kiswahili Na Fasihi Katika Kiswahili
|
05-14-2018, 02:38 PM
2 fasihi ya kiswahili ni kazi yeyote ya fasihi ambayo imetungwa kwa lugha ya kiswahili kwa mfano Adili na Nduguze kilichoandikwa na Shaban Robert, Nguzo Mama lakin fasihi kwa kiswahili ni kazi ambayo imetafasiri kwa lugha ya kiswahili lakini chanzo chake kutoka fasihi za lugha ya kigeni mfano wa vitabu vilivyotafsiriwa na mwalimu Nyerere kama vile Mfalme Edipode. Mabepari wa venisi. nk |
Users browsing this thread: |
1 Guest(s) |