Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi
How to register and join MyElimu CLICK HERE

 
Thread Rating:
 • 0 Vote(s) - 0 Average
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi
MyElimu Offline
System

Posts: 247
Likes Given: 7
Likes Received: 120 in 79 posts
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Friend:  Add as Friend

Points: 3,951.25 points
Country: Tanzania
Post: #1
Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi

0
0
UHAKIKI WA KAZI FASIHI SIMULIZI
FASIHI SIMULIZI
Uhakiki ni kitendo cha kusoma kazi ya fasihi simulizi na kuchambua vipengele vya fani na maudhui kwa kuangalia ubora na udhaifu wa kazi hiyo.
Mhakiki ni yule mtu anayechambua kazi ya fasihi simulizi na kuchunguza vipengele vya fani na maudhui.
Kazi ya Uhakiki
 • Kuelewesha hadhira kuhusu kuwepo na kazi hiyo.
 • Kuchambua vipengele vya fani na maudhui.
 • Kueleza ubora na upungufu wa kazi hiyo
 • Kueleza umuhimu wa kazi hiyo
                                                     
VIPENGELE VINAVYOFANYIWA UHAKIKI
 1. Fani
 • Wahusika
 • Mtindo
 • Muundo
 • Mandhari
 • Matumizi ya lugha.
 
 1. Maudhui
 • Dhamira
 • Falsafa
 • Mtazamo/ Msimamo
 • Ujumbe
 • Migogoro
 
Kazzi za fasihi simulizi zinazofanayiwa uhakiki ni kama vile mashairi, maigizo na hadithi.
 
UHAKIKI WA MASHAIRI
Mashairi ni kazi ya fasihi simulizi ambayo mhakiki huchunguza vipengele vya fani na maudhui. Katika fani mhakiki huchunguza ufundi alioutumia mtunzi katika kutunga kazi yake na katika maudhui mtunzi huchunguza mawazo muhimu yaliyojitokeza katika kazi hiyo.
 • Mtindo
Hapa mhakiki anaangalia shairi kama ni la kimapokeo au la kisasa. Mashairi ya kimapokeo ni mashairi yanayofuata …….
 
 • Muundo
Ni kipengele ambacho msanii huweka wazi mambo kama vile idadi ya beti katika shairi, idadi ya mistari na aina za vibwagizo.
Kwa mfano;
 1. Mistari 4- Tarbia
 2. Mistari 2 – Tathnia
 3. Mistari 3 – Tahlitha
 4. Mstari 1 – Tamalitha
 
Mfano;
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli, iwafae maishani,
Muundo wa Tarbia
 
 • Wahusika
Katika mashairi kunakuwa na wahusika ambao wanaweza kuwa viumbe hai au wasio hai.
 • Matumizi ya lugha
Hapa mhakiki lazima achunguze vitu vifuatavyo;
Mpangilio wa maneno, Kwa mfano mweupe paka badala yap aka mweupe
Ufupisho wa maneno kwa mfano wembe badala ya kiwembe
Matumizi ya methali, misemo na nahau
Matumizi ya picha
 
 
12-04-2017, 02:27 PM
Visit this user's website Find Like Post Reply


You may also like these discussions:
Thread Author Replies Views Last Post
  Fasihi Yusuph changuvu 0 71 07-06-2018, 10:02 AM
Last Post: Yusuph changuvu
  Tofauti Ya Fasihi Ya Kiswahili Na Fasihi Katika Kiswahili Baynet 1 684 05-14-2018, 02:38 PM
Last Post: Said Maganza
  Uhifadhi Wa Kazi Za Fasihi Simulizi MyElimu 0 7,134 12-04-2017, 02:32 PM
Last Post: MyElimu
  Uhakiki MOH'D SALIM MOH'D 0 1,791 09-17-2017, 12:06 PM
Last Post: MOH'D SALIM MOH'D
Post Icon Fasihi Kwa Ujumla MyElimu 0 7,825 09-14-2017, 01:19 PM
Last Post: MyElimu
Post Icon Nyimbo Katika Fasihi Simulizi MwlMaeda 0 2,271 06-09-2017, 12:23 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Udhibiti Wa Kazi Za Fasihi Kwa Ufupi MwlMaeda 0 1,508 06-08-2017, 07:09 PM
Last Post: MwlMaeda
  Madoido Katika Fasihi MwlMaeda 0 943 06-07-2017, 10:57 PM
Last Post: MwlMaeda
Post Icon Mofimu Na Kazi Za Mofimu MyElimu 0 6,976 05-15-2016, 12:10 AM
Last Post: MyElimu
Lightbulb Tanzu na Vipera Vya Fasihi Simulizi Given 1 44,420 12-21-2015, 11:07 AM
Last Post: SUSAN MACHARIAUsers browsing this thread: 1 Guest(s)