06-21-2017, 03:11 PM
0
Swali:
Bainisha dhima za kisarufi za kipashio "ji" katika sentensi hizi
1. Haifai kukaa penye vumbi jingi
2. Alijisikia amechoka.
3.Uchafuaji wa mazingira huleta madhara.
4. Jiji letu la Dar ni zuri.
5. Mimi si msemaji wenu.
Karibu: www.mwalimuwakiswahili.com