• Home
  • MyElimu TV
  • Mtabe App
  • ShuleWiki
  • Innovators 2019
  • Search MyElimu
MyElimu
 
Sign in   Create account
Login
Username:
Password: Lost Password?
 
MyElimu › GENERAL STUDENTS DISCUSSIONS › MATHEMATICS v
« Previous 1 2 3 4 5

Jinsi ya Kuandika Formulas na Equations


     
Thread Modes
Thread Contributor: MyElimuJinsi ya Kuandika Formulas na Equations
MyElimu Offline
System
*******
Posts: 241
Threads: 198
Joined: Feb 2014
Reputation: 20
Thanks Given0
Thanks Received20
Thanks Meter 23%Thanks Meter
#1
02-28-2014, 05:24 PM (This post was last modified: 03-01-2014, 09:57 AM by MyElimu.)
0
Hello,
Tumeweka system ambayo itawezesha wanafunzi kuandika equations za formulas kwenye posts kwa urahisi. Topic hii ni ya maelekezo ya jinsi utakavyoweza kuandika equations hizo. 

1. Kufugua equation
Kwanza inabidi uanze kwa kuandika {math} then equation yako halafu ukimaliza unafunga kwa {/math}. Mfano:-
{math}x=2{/math}. Kumbuka haya mabano inabidi uyaweke na kuyafunga kila kila equation, na katika maelekezo yote yanayofuata tuna-assume umeshafungua mabano ya {math}.

2. Fraction
Kuandika fraction, unaandika  \frac{numerator}{denominator}. Mfano:-
 \frac {x+y}{y-z} italeta    [Image: fraction1.png].

Pia, unaweza kuweka fraction ndani ya fraction! Mfano:-
\frac{\frac{1}{x}+\frac{1}{y}}{y-z} italeta [Image: fraction2.png]

Unaweza kufanya majaribio hapo chini kwa kureply  na kisha kujaribu equation mbali mbali.

3. Powers and indices

Unaweza kuandika power kwa kuweka kialama cha "^" na indice kwa kuweka kialama cha _ . Mfano:-
  • x^n italeta [Image: power1.png]
  • x^{2n} italeta [Image: power2.png]
  • Index italeta  n_i[Image: index1.png]
  • n_{ij}italeta [Image: index2.png]
4. Root
Unaweza kuandika root kwa kuanza na \sqrt [namba ya nje] [namba za ndani]. Mfano:-
  • \sqrt[3]{\frac {x^2}{4xy-2}} italeta [Image: mimetex.cgi?formdata=%5CLarge+%5Csqrt%5B...xy-2%7D%7D]
  •  x=\frac{-b\pm\sqrt{b^2-4ac}}{2a} italeta  [Image: mathtex.cgi?\small%20x=\frac%7B-b\pm\sqrt%7Bb%5E2-4ac%7D%7D%7B2a%7D]. 
 
5. Brackets
Kuweka brackets, kuna njia mbili: Unaweza kuandika brackets kama kawaida, au kwa kuandika \left na \right. Angalia hapa chini:-
  • (\frac{x^2}{y^3}) italeta [Image: bracket1.png]
  • \left(\frac{x^2}{y^3}\right) italeta[Image: bracket2.png]
Ukiangalia hapa juu unagundua tofauti ya kutumia /left na kutumia mabano () kama kawaida. /left na /right inaleta mabano ambayo size yake inakuwa automatic kutokana na kilicho ndani yake. 

Matrices
 Njia rahisi ya kuandika matrix ni  \begin{matrix} a&b\\c&d \end{matrix}  ambayo italeta   [Image: mathtex.cgi?\begin%7Bmatrix%7D%20a%20&%20b%2...nd%7Bmatrix%7D] .  
Izungushie   \left( ... \right)   kupata  [Image: mathtex.cgi?\left(\begin%7Bmatrix%7D%20a%20&...ix%7D\right)] .  Alternatively, unaweza ukatumia  \begin{pmatrix} ... \end{pmatrix}   ambayo itazungushia matrix yako automatically na mabano.

NB: Alama ya // inaruka kwenda kwenye mstari mwingine.

Namna ya kuweka mabano  
Kitu kingine cha kuzingatia ni jinsi haya mabano yanavyowekwa. Kama unataka mabano ya kawaida makubwa basi baada ya \left inabidi uweke bano la kawaida, yaani mfano \left(5)\right. Ila kama unataka mabano yenye mshale, basi utaandika \left{5 \left}
 
Symbols
[Image: image.png]
[Image: image.png]
[Image: image.png]
[Image: image.png]
[Image: image.png]


Kama una swali au haujaelewa sehemu, tafadhali usisite kuuliza. Enjoy being a mathematician [img]images/smilies/smile.gif[/img]
 

 
Website Find
Reply

Musa Offline
Gold Student
Gold
Posts: 22
Threads: 4
Joined: Feb 2014
Reputation: 1
Thanks Given0
Thanks Received1
Thanks Meter 1%Thanks Meter
#2
03-03-2014, 08:17 AM (This post was last modified: 03-03-2014, 08:19 AM by Musa.)
0
[math] \large x= \frac {-b \pm \sqrt{b^2-4ac}}{2a}[/math]

 
Find
Reply

Genious Offline
Student
Student
Posts: 1
Threads: 0
Joined: Mar 2014
Reputation: 0
Thanks Given0
Thanks Received0
Thanks Meter 0%Thanks Meter
#3
03-03-2014, 08:58 AM
0
Hebu tuchemshe kichwa kwa kutafuta thamani ya x and y, in this equation:
x+y=xy=x/y
Find
Reply

williada Offline
Student
Student
Posts: 9
Threads: 1
Joined: May 2014
Reputation: 0
Thanks Given0
Thanks Received0
Thanks Meter 0%Thanks Meter
#4
05-16-2014, 02:43 AM (This post was last modified: 05-16-2014, 02:49 AM by williada.)
0
/frac{x+z}{y+6}

 oyo mbona mi zinakataa wakati nafuata procedure?

 mbona mi zinakataa au mpaka kwa wenye computers?
Find
Reply



Forum Jump:


Users browsing this thread:
1 Guest(s)


  •  
  • Return to Top  
  • Lite mode  
  • Contact Us

  View a Printable Version
  Subscribe to this thread
  Add Poll to this thread
  Send thread to a friend