11-11-2015, 03:10 PM
0
Kuna kozi ambazo nimechaguliwa na vyuo mbalimbali kwenda kuzisomea jee ni zipi znafaa zaid na kwa nn kati ya hizi Ngoja nikutajieni halafu mnichagulie 1)mechanical engineering 2)automobile engineering 3)computing and communication information technology 4)diploma in nursing 5)diploma in clinical officer 6)diploma in medical laboratory technology 7)diploma in clinical medicine 8) optometry 9)exploration and mining geology 10)petroleum geoscience 11)mining engineering 12)mineral processing and gemology 13) oil and gas engineering. Sasa niambie zipi zmekaa poa kwa mtazamo wenu?