0
UANDISHI WA BARUA
Barua ni karatasi yenye ujumbe ulio katika maandishi. Au ni njia ya mawasiliano inayotumia maandishi kufikisha ujumbe, uandisha wa barua ni kitendo cha kuandika barua yenye ujumbe husika na kupeleka mahali panapohusika .
Kuna aina nyingi za barua, zikiwemo aina mbili rasmi za barua ambazo ni
Ni barua zinazoandikwa na watu au mtu kwa lengo la kupashana habari, kujuliana hali, kuonyana na kuomba kushukuru. Mara nyingi barua hizi huandikwa kwa ndugu, rafiki au watu wenye mahusiano mbalimbali katika jamii husika.
TARATIBU/MUUNDO WA UANDISHI WA BARUA YA KIRAFIKI
Mfano;
Shule ya sekondari Arusha
S.L.P 4051
Arusha
Mfano;
28/08/2026
Mfano;
Mpendwa Bushiri
Mfano;
Habari za siku nyingi au salamu nyingi zikufikie na baada ya hapo ndipo kiini cha barua huelezewa kwa kufafanua lengo au dhumuni la barua.
Mfano;
Wako rafiki
Wako kipenzi
Mfano;
Abdallah Jabil
Ikram Saleh
MUUNDO WA BARUA YA KIRAFIKI
1. Anuani ya mwandishi
2. Tarehe
3. Mwanzo wa barua
4. Kiini cha barua
5. Mwisho wa barua
6. Jina la mwandishi
Mbinu za uandishi wa barua ya kirafiki.
[list=lower-roman]
[*]Matumizi ya lugha inayoeleweka
[*]Kutoa maelezo katika mtiririko mzuri
[*]Kuzingalia alama za uandishi, mfano; nukta(.)
[/list]
Mfano wa barua ya kirafiki
Shule ya sekondari Arusha
S.L.P 5678
Mkuranga
07/09/2017.
Kwako Mjomba
Salama sana, ni matumaini yangu kuwa nyote hapo nyumbani ni wazima, mimi pia ni mzima. Dhumuni la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa naendelea vizuri na masomo na mitihani yote tuliyofanya nimefanya vizuri lakini tunatarajia kufunga shule tarehe 30/07/2017, Wasalimu wote hapo nyumbani.
Mimi mpwa wako
Rajabu Maridhawa
Hatua za kutuma barua
Uandishi Wa Anuani Juu Ya Bahasha
Juu ya bahasha huandikwa jina na anuani ya mpelekewa barua na nyuma ya bahasha huandikwa jina la mwandishi wa barua.

- Barua za Kirafiki
- Barua za Kikazi
Ni barua zinazoandikwa na watu au mtu kwa lengo la kupashana habari, kujuliana hali, kuonyana na kuomba kushukuru. Mara nyingi barua hizi huandikwa kwa ndugu, rafiki au watu wenye mahusiano mbalimbali katika jamii husika.
TARATIBU/MUUNDO WA UANDISHI WA BARUA YA KIRAFIKI
- Anuani ya mwandishi
Mfano;
Shule ya sekondari Arusha
S.L.P 4051
Arusha
- Tarehe
Mfano;
28/08/2026
- Mwanzo wa barua
Mfano;
Mpendwa Bushiri
- Kiini cha barua
Mfano;
Habari za siku nyingi au salamu nyingi zikufikie na baada ya hapo ndipo kiini cha barua huelezewa kwa kufafanua lengo au dhumuni la barua.
- Mwisho wa barua
Mfano;
Wako rafiki
Wako kipenzi
- Jina la mwandishi
Mfano;
Abdallah Jabil
Ikram Saleh
MUUNDO WA BARUA YA KIRAFIKI
1. Anuani ya mwandishi
2. Tarehe
3. Mwanzo wa barua
4. Kiini cha barua
5. Mwisho wa barua
6. Jina la mwandishi
Mbinu za uandishi wa barua ya kirafiki.
[list=lower-roman]
[*]Matumizi ya lugha inayoeleweka
[*]Kutoa maelezo katika mtiririko mzuri
[*]Kuzingalia alama za uandishi, mfano; nukta(.)
[/list]
Mfano wa barua ya kirafiki
Shule ya sekondari Arusha
S.L.P 5678
Mkuranga
07/09/2017.
Kwako Mjomba
Salama sana, ni matumaini yangu kuwa nyote hapo nyumbani ni wazima, mimi pia ni mzima. Dhumuni la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa naendelea vizuri na masomo na mitihani yote tuliyofanya nimefanya vizuri lakini tunatarajia kufunga shule tarehe 30/07/2017, Wasalimu wote hapo nyumbani.
Mimi mpwa wako
Rajabu Maridhawa
Hatua za kutuma barua
- Baada ya kumaliza kuandika barua ikunje na iweke kwenye bahasha
- Nenda posta na nunua stampu utaibandika juu ya bahasha upande wa kulia
- Tumbukiza barua yako katika kisanduku cha kupelekea barua
Uandishi Wa Anuani Juu Ya Bahasha
Juu ya bahasha huandikwa jina na anuani ya mpelekewa barua na nyuma ya bahasha huandikwa jina la mwandishi wa barua.